Taarifa ya Boresha Afya: Lake/Western Zone

Speeches Shim

Mradi wa USAID Boresha Afya Kanda ya Ziwa na Magharibi unashirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuongeza upatikanaji wa huduma za ubora wa hali ya juu, zilizo kamilifu, na jumuishi kupitia mpango jumuishi wa huduma za afya ya Mama ,uzazi na mtoto, ugonjwa wa malaria kwa mama mjamzito, mtoto mchanga, na huduma za afya za rika balehe.

Date 
26-03-2019 04:15